Monday, 22 September 2014

HIVI NDIVYO POLISI WAMEJIPANGA KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI WA CHADEMA SHINYANGA


Hivi ndivyo jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limejipanga kukabiliana na maandamano yaliyotangazwa na Chadema jana ya kupinga bunge la katiba ambayo yalitarajiwa kufanyika kuanzia leo saa mbili asubuhi lakini mpaka sasa hakuna kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza,hata ofisi ya Chadema imefungwa
Ofisi ya Chadema mkoa wa Shinyanga ikiwa imefungwa
 Askari wakiwa mtaani
 FFU wakiwa mtaani kukabiliana na waandamanaji kama watajitokeza leo.

0 comments: