Sunday, 21 September 2014

JAJA&COUTINHO WATUA TAIFA KUSHUDIA SIMBA NA COAST LIVE

Kiungo Coutinho na mshambuliaji Jaja walikuwa kwenye Uwanja wa Taifa kuishuhudia Simba ikipambana na Coastal Union.

Katika mechi hiyo iliyoisha kwa sare ya mabao 2-2, Jaja na Coutinho walikuwa jukwaani wakishuhudia.
Baada ya mechi mbili zijazo, Yanga itakuwa na kibarua kigumu dhidi ya Simba, mechi ambayo huwa haina mwenyewe.

Huenda Coutinho na Jaja waliona ni wakati mzuri wa kuipeleleza Simba kama vile CIA.

0 comments: