Ovyooo! Wakati serikali ikipiga marufuku disko la mitaani maarufu kwa jina la ‘Vigodoro’ bado kuna baadhi ya mikoa inapuuza agizo hilo ambapo mwanamke mmoja ambaye mumewe anafanya kazi kwenye mgahawa uliopo ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani hapa, aliyetajwa kwa jina la Mama Abdul (pichani), amejitoa fahamu kupitia Kigodoro na kujikuta akisaula nguo hadharani.
Pichani mama huyo akimwaga radhi mbele ya umati mkubwa wakiwemo watoto wadogo.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na mwanahabari wetu lilijiri juzikati, majira ya mchana kwenye kigodoro mbele ya watoto waliopokea ekaristi takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Monica lililopo maeneo ya Kihonda mkoani hapa.
Mke huyo wa mtu alimwaga ‘lazi’ hizo kwa kushirikiana na mdogo wake wa damu aliyefahamika kwa jina moja la Jacqueline wakati wakimpongeza mtoto wa rafiki yao aliyepokea ekaristi.
“Unajua walikuwa wanatumia kigezo cha ‘ananijua nani pande hizi’ kumbe wanajishushia heshima na shughuli yenyewe ni ya kikanisa,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la aibu.
Mke huyo wa mtu alimwaga ‘lazi’ hizo kwa kushirikiana na mdogo wake wa damu aliyefahamika kwa jina moja la Jacqueline wakati wakimpongeza mtoto wa rafiki yao aliyepokea ekaristi.
“Unajua walikuwa wanatumia kigezo cha ‘ananijua nani pande hizi’ kumbe wanajishushia heshima na shughuli yenyewe ni ya kikanisa,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la aibu
Mke wa mtu mama Abdul akiwa na rafiki yake.
“Unajua walikuwa wanatumia kigezo cha ‘ananijua nani pande hizi’ kumbe wanajishushia heshima na shughuli yenyewe ni ya kikanisa,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la aibu
0 comments:
Post a Comment