Katika msimu huu wa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara inayoanza tarehe 20 mwezi huu katika uwanja wa sokoine kutakuwa na mechi kati ya Mbeya city na Jkt ruvu ,kufuatia mechi hiyo ya ufunguzi kocha mkuu wa timu ya mMbeya city Juma mwambusi amesema kuwa atahakikisha anaondoka na pointi tatu muhimu ili kufungua vema ligi hii ya msimuu huu , hivyo amewaomba mashabiki wa timu yao ya mbeya city kuwa wavumilivu kwa kuwa kila timu imejipanga vizuri lakini mwanmbusi ameongeza kua wao amejipanga vizuri zaidi hivyo point tatu muhimu ndani ya uwanja wa sokoine mbeya
Thursday, 18 September 2014
HOME »
» MWAMBUSI: NACHUKUA POINTI 3 MUHIMU NDHIDI YA JKT RUVU
0 comments:
Post a Comment