Sisi
ni mabingwa! alisema Nahodha wa Ujerumani, Philipp Lahm ameshika Kombe la Dunia akishangilia na wachezaji wenzake Uwanja
wa Maracana mjini Rio de Jeneiro, Brazil baada ya kuifunga Ujerumani 1-0
na kutwaa taji hilo
Wachezaji wa Ujerumani kwa raja zao na Kombe lao Maracana
Kocha wa Ujerumani, Joachim Low (katikati) akiinua Kombe la Dunia
Mtoa pasi ya bao, Andre Schurrle akipongezwa na mpenzi wake, Montana Yorke baada ya mechi
Mario Gotze (kushoto) akishangilia na Thomas Muller baada ya kufunga bao pekee la ushindi
0 comments:
Post a Comment