Furaha:
Kiungo wa Ujerumani, Sami Khedira akipigana mabusu ya mate kwa mate na
mpenzi wake, Lena Gercke baada ya kukabidhiwa Medali ya ushindi wa Kombe
la Dunia jana, kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Argentina jana. Khedira
hakucheza kwa sababu alikuwa majeruhi, lakini mwenye furaha sana baada
ya mechi
Joto la mpenzi: Sami Khedira akipongezwa na mpenzi wake, Lena Gercke
Mwanamke anajipendekeza? Andre Schurrle akiwa jana hahusiki huku Montana »
Cheki toto hilo: Mpenzi wa Khedira, Lena Gercke akipiga ulabu
0 comments:
Post a Comment