Wafanyabishara wa soko la Soweto mkoani mbeya wamkana mzabuni aliyechukua
tenda ya kusafisha vyoo vya soko hilo ,hayo amesemwa na baadhi ya wafanya
biashara wa soko hilo walipo kuwa wanizumza na mtandao huu wa mbeya
greenews wamesema mzabuni huyo hakidhi vigezo kwa kuwa usafi wa mzingira ya vyoo haviridhishi hali
ambayo hupelekea kuguwa kwa magonjwa ya milipuko,
Pamoja nahayo mzabini
anatoza gharama kubwa tafauti na bei ya awali
ambapo mara ilikuwa tsh 5o
na yeye anachaji 200 kwa kila anaekwenda kutuimia vyoo hivyoo ,hivyo wafanyabiashara
wameiomba halimashauri ya jiji la mbeya
wanata ka huduma ya vyoo urudishwa kwa wafanya biashara wenyewe iliwaweze
kuindesha na kufanya usafi unaoeleweka
Akidhipitisha malalamiko hayo ya wafanyabiashara hao mwenyekiti
wa soko hilo ANOLA MBOGELA amesma
kuwa mzabuni huyo aliwekwa na
halimashauri ya jiji la mbeya kwa kuwa
yaeye ndie alipata tenda hiyo ya kufanya usafi wa vyoo vya soko lakini
hali ya usafi nimbaya na hairidhishi kwa wafanyabiasha wa soko hilo,bila
yakutaja jina la mzabuni huyo mwkt ameongeza kuwa mzabuni amegeuza huduma ya vyoo kuwa ni biashara hali mabyo hupekea wafanyabiashara wa soko
hilo kutomuhitaji kwa kuwa na tozo kubwa
ya tsh 200 kwa kila naetumia vyoo hivyoo
Pia
ameomba ha halimashauri ya jiji la mbeya
wanataka huduma ya vyoo urudishwa kwa wafanya biashara wenyewe iliwaweze
kuindesha na kufanya usafi unaoeleweka
habari na
habari na
Abdul m.Abdallah mbeya
0 comments:
Post a Comment