Baadhi ya wanachama wa umoja wanawake mkoa wa mbeya picha na makitaba |
Umoja wa wanawake tanzanzia wilaya ya mbeya wakemea
unyasasaji wa kijinsia unaondelea nchini
hii emekuja baada ya kukithili kwa videndo vya unyanyasaji wa
wanawake kwa waume zao
Akizumza na na
mbeyahighland fm radio katibu wa uwt
wilaya ya mbeya Bi, SAFI HAMIDU ALMAS amesma kuwa meamuakukemea na kutoa msaada kwa
wanawake wanao kumbwa na vitendo hivyo kwa
kushilikiana natasisi mbalilmbali
ikiwemo dawati la jinsia na watoto la jeshi la polisi pamoja na haki za binadamu ilikuhakiksha mwanamke
anakombolewa katika hali hii
Pamoja nahoya BI, SAFI ALMAS ametaja msaada uwt kwa mwanamke ni kumuelimsha kuhusu hakiyake,
kumpa muongozo wa kushulikia madai yake
au kumuunganisha na vyombo husika ambavyo vinaweza kumsaidia mwanamke kupata
haki yake
Katibu huyo ameongeza kuwa melengo makubwa ya uwt nikulinda, kutetea haki na masilahi ya
mwanake pamoja na kumkomboa,mwanamke kiuchumi,kielimu
na kijamii kwa kutafuta fursa za kazi na kuanzisha miradi mbalilmbali pia uwt
imejipanga kumuondoa mwanamke katika mfumo dume
Hivyo amewaomba wanawake
kujiunga na umoja huo ili waweze kupata fursa mbalimbali wanazo zipata wanake
wangine mbali na kupata fursa hizo
wanaweza kujiendeleza kiuchumi,kielimu na kijamii
0 comments:
Post a Comment