Rais
Dr. Jakaya Kikwete akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama
nafuu zinazojengwa na Shirika la Nyumba (NHC) na kupokelewa na Ndg.
Felix Maagi Kaimu Mkurungenzi Mkuu NHC na Mkurugenzi wa Fedha kulia
wakati alipokagua mradi huo uliopo katika wilaya ya Mkinga mkoani Tanga
akiwa katika ziara yake ya kikazi jana Rais Dr. Jakaya Kikwete
anaendelea na ziara mkoani humo leo.
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na wafanyakazi mbalimbali wa shirika la
Nyumba wakati alipowasili katika eneo la mradina kujionea shughuli za
ujenzi katika mradi huo
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akizindua mradi huo pamoja na Naibu Waziri wa Ardhi,
Nyumba na Makazi Mh. George Simbachawene katikati ni Kaimu Mkurugenzi
wa Shirika hilo Bw. Felix Maagi na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mh.
Chiku Galawa
Rais
Dr. Jakaya Kikwete na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. George
Simbachawene kulia na Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw.
Felix Maagi kwa pamoja wakipiga makofi mara baada ya Rais kuzindua rasmi
mradi huo uliopo wilayani Mkinga
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akisikiliza kwa makini wakati akipata maelezo ya
mradi huo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. elix
Maagi.
Rais
Dr. Jakaya Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Chiku Galawa pamoja na
Kaimu Mkurugenzi wa shirika la Nyumba NHC Bw. Felix Maagi wakikata utepe
kwa pamoja kama ishara ya uzinduzi wa mradi huo.
Rais
Dr. Jakaya Kikwete na Mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Chiku Galawa wa pili
kutoka kushoto , Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mh. George
Simbachawene wa pili kutoka kulia na Kaimu Mkurugenzi wa shirika la
Nyumba NHC Bw. Felix Maagi wakikata utepe kwa pamoja kama ishara ya
uzinduzi wa mradi huo.
Rais
jakaya Kikwete akikata utepe kabla ya kukabidhi Mashine za kufyatulia
matofali kwa mkuu wa mkoa wa Tanga ambazo zitagawiwa kwa kila wilaya za
mkoa wa Tanga mashine nne kulia ni mkuu wa mkoa wa Tanga Mh. Chiku
Galawa.
Rais
Dr. Jakaya Kikwete akipata taarifa ya mradi huo wa nyumba za gharama
nafuu kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa shirika la Nyumba NHC Bw. Felix
Maagi
Baadhi ya nyumba zilizokamilika zinavyoonekana
0 comments:
Post a Comment