KOCHA
Luiz Felipe Scolari amebwaga manyanga Brazil baada ya wenyeji hao
kuboronga katika Fainali za Kombe la Dunia mwaka huu, wakifungwa mabao
10 katika siku tano.
Brazil
ilifungwa na Uholanzi mabao 3-0 katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu
ikitoka kuchapwa mabao 7-1 na Ujerumani katika Nusu Fainali Jumanne.
Hata hivyo, bado haijathibitishwa, ni vyombo vya Habari Brazil
vimeripiti amefukuzwa.
Scolari
alikutana na viongozi wa Shirikisho la Soka Brazil Jumamosi usiku baada
ya kipigo hicho, ambacho kiliwafanya wawe kikosi cha kwanza cha Brazil
daima kufungwa nyumbani mfululizo tangu mwaka 1940.
0 comments:
Post a Comment