Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akijumuika na Viongozi mbali mbali na wananchi,katika futari
iliyoandaliwa na Benki ya watu za Zanzibar PBZ katika Ukumbi wa Salama
Bwawani jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment