Thursday, 3 July 2014

Baadhi ya wasichana wa Ziwa Victoria hatarini kupata mambukizi ya magonjwa wa ukimwi


Idadi kubwa ya wasichana waliopo kando kando ya visiwa vya ziwa Victoria mkoani Mwanza nchini Tanzania, wapo katika hatari ya kuambikizwa virusi vya HIV kutokana na ngono isiyo salama.
Baadhi ya wasichana pia wana hata chini ya umri wa miaka kumi na nane.
Wanawake wengine wamesema wavuvi huwalazimisha kufanya ngono bila kinga.
Hali ambayo huwapelekea kutfanya ngono isiyo salama pia baadhi ya wasichana wamesema kuwa ugumu wa maisha ndio hufanya kujihusisha na mapenzi huku wakiwa na umri mdogo  
chanzo bbc swahlili

0 comments: