Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha
Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya
kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani
Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Picha na OMR Makamu

akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa ubora wa Mazingira na
Usalama Kazini, Peter Simon, kuhusu jinsi wanavyo tunza mazingira kwa
kutotupa maji machafu ambayo hutengenezwa na kuwa masafi na kutumika
upya kwa baadhi ya shughuli za kiwandani hapo kama kumwagia bustani,
kuoshea magari na n.k, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa
ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani

Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Picha na OMR
Makamu akiagana na wafanyakazi wa kiwanda hicho baada ya ziara yake. Picha ya pamoja
0 comments:
Post a Comment