Friday, 13 June 2014

COASTAL UNION YAFANYA USAJILI KWA WACHEZAJI WENGI KWA MARA MOJA

Beki wa kati wa Mgambo JKT ya Tanga akisaini mkataba wa kujiunga na mahasimu wao wa Jiji hilo, Coastal Union mbele ya viongozi wa kabu hiyo, Makamu Mwenyekiti, Stephen Mguto (katikati) na Katibu, Kassim El Siagi kushoto na Mjumbe wa Kamati ya Usajili, Salim Amir kulia jana makao makuu ya klabu hiyo, Barabara ya 13, Tanga.
Kipa Shaaban Kado akisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuichezea klabu hiyo
Mshambuliaji Hussein Sued akisaini kujiunga na Coastal Union kwa mwaka mmoja kutoka Ashanti United
Mshambuliaji Mnigeria, Ike Bright Obinna akisaini mkataba wa kujiunga na Coastal. Mchezaji huyo alichezea Ashanti United msimu uliopita. Kushoto ni Mwenyekiti wa Coastal, Ali Hemed 'Auror CHANZO BINZUBERI  

0 comments: