Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba
Nkinga akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu
maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kila
ifikapo tarehe 21 Mei kila mwaka leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni
Mkurugenzi Maendeleo ya Utamaduni Pro. Hermas Mwansoko.
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Sihaba Nkinga
Akifafanua jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari kuhusu
maadhimisho ya siku ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani ambayo mwaka huu
yataadhimishwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mei 21.
(Picha na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini WHVUM)
0 comments:
Post a Comment