Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka
Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu zao la zabibu wakati
walipotembelea shamba lake lililopo zuzu mjini Dodoma Mei 18, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr.Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Mei 19 ,
2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe wa Kampuni ya British
American Tobacco, Ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Mei 19, 2014.Kulia
kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Masoko wa Afrika mashariki, Ernest Leroux,
Watatu kulia ni Mkurugenzi wa Afrika ya Mashariki na kati, Jerry Gilbert
na kushoto ni Connie Anyika. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya Montage, Teddy Mapunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment