Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho na kufariji familia
ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini marehemu Arthur
Mwakapugi huko nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam
jana.Mwakapugi ambaye alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 64
alitumikia taifa kwa miaka 30 mfululizo katika nafasi
mbalimbali.Marehemu baadaye alisafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwake
Ilundo wilaya ya Tukuyu(picha na Freddy Maro).
Monday, 19 May 2014
HOME »
» RAIS KIKWETE AONGOZA KUAGA MWILI WA MWAKAPUNGI DAR
0 comments:
Post a Comment