Friday, 23 May 2014

HII NDIO ADHA YA ABIRIA BAADA YA DREVA DALADALA KUGOMA MKOANI IRINGA


20140523_1719580_32a49.jpg
Hawa ni abiria wakiwa katika kituo cha daladala manispaa ya Iringa-Miyomboni wakiwa hawajui watasafirije kurudi kwenda majumbani kwao,  baada ya madreva wa daladala kugoma kutokana na agizo lililotolewa na SUMATRA Mkoa wa Iringa kutosimamisha abiria kwenye daladala hizo.
20140523_171958_bb958.jpg
Abiria hawa wakiwa hawajui nini cha kufanya stendi hapo
20140523_172007_94071.jpg
(Picha na Martha Magessa)


20140523_172014_39915.jpg
Hawa ni baadhi ya Madreva wa Daladala zinazofanya shughuli zake katika Manispaa ya Iringa
20140523_172024_dafa7.jpg
20140523_172032_ed792.jpg20140523_172047_3ec87.jpg
20140523_172140_e676c.jpg
20140523_172148_652f8.jpg
20140523_172313_d8a4a.jpg
20140523_172417_22b6a.jpg
 Wakati madreva hao wakigoma dreva mmoja  amesaliti wenzake kwa kupakiza abiria na madreva hao  kuanza kumfokea na kuzuia daladala hilo kutotoka kituoni hapo ili ashushe abiria aliyo wapakiza.

Related Posts:

0 comments: