
Mbowe
Amesema ni heri wao watoke na wawaachie CCM wapitishe bajeti hiyo
wenyewe kwa vile wameshapanga kuipitisha na kupanga watu wakuongea
kumsifia Waziri wa Wizara hiyo.
Wakati wa
mjadala wa uchangiaji wa hutuba ya bajeti ya wizara ya Nishati na
madini ukiendelea wabunge wa vyama vya upinzani wamatoka nje ya ukumbi
wa bunge Kwa sababu ya kuwa wabunge wa ccm wanaficha uovu katika wizara ya nishati na madini
0 comments:
Post a Comment