Shirika
la kandanda la Europa, UEFA, limeiwekea vikwazo timu ya mpira ya Real
Madrid kwa makosa ya mashabiki wao, waliotoa ishara na kejeli za ubaguzi
wa rangi wakati wa moja ya mechi zake.
Je ni sawa Real Madrid kuadhibiwa na UEFA kwa sababu ya makosa yaliyofanywa na mashabiki wake?
Tukio hilo lilifanyika April wakati wa mechi ya nusu fainali kati ya mabingwa hao wa sasa wa kombe hilo la UEFA, na mahasimu wao,mabingwa wa zamani wa Bayern Munich.
Miongoni na adhabu walizopewa ni kufunga maeneo mawili ya uwanja wao wa Bernabeu wakati wa mechi yao itakayokuja ya UEFA na watapaswa kuweka mabango yaliyo na maandishi 'No to Racism' yaani 'Twakataa ubaguzi wa rangi!.

CHANZO BBC
0 comments:
Post a Comment