Mgeni
rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula, Mwakilishi wa Baraza la
wawakilishi, Wanu Ameir (kushoto) akipokewa na Balozi wa Fistula,
Khadija Salum baada ya kuwasili kwenye hospitali ya Kwamtipura mjini
Zanzibar jana,wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Fistula Duniani na utoaji
wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa
ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Mgeni
rasmi, Mwakilishi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Wanu Ameir
akizungumza kwenye hafla ya siku ya Fistula kwenye hospitali ya
Kamtipura mjini Zanzibar jana.katika siku hiyo maalumu Duniani na utoaji
wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa
ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Mwakilishi
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar(viti maalumu), Wanu Ameir, amewataka
viongozi wa mikoa ya Zanzibar kutoa mazingira wezeshi kuwarahisishia
mabalozi wa Fistula nchini kuhamasisha na kuelimisha Umma dhidi ya
fistula hapa visiwani ambapo mpaka sasa ni wagonjwa 6 tu ambao
wamejitokeza tangu kuanza kampeni hiyo aliyasema hayo wakati wa
maadhimisho ya siku ya Fistula Duniani jana.Elimu hiyo inatolewa kwa
ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Wananchi
wakimsikiliza mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya Fistula Duniani
na utoaji wa elimu kwa Umma kuhusu tatizo hilo.Elimu hiyo ilitolewa kwa
ushirikiano wa wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
Mgeni rasmi
na viongozi wengine wakiomba dua baada ya hafla hiyo ya siku ya Fistula
Duniani jana,ambapo alitoa mada na elimu kwa Umma kuhusina na tatizo
hilo linalowakabili wakina mama.Elimu hiyo ilitolewa kwa ushirikiano wa
wadau wa CCBRT,UNFP,Vodacom Foundation.
0 comments:
Post a Comment