Makamu
wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki, Ahmet
Dovutoglu, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa
Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo, Mei 30, 2014.
Katika mazungumzo yao walisisitiza juu ya ushirikiano katika Nyanja
mbalimbali baina nchi hizi mbili . Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya
Kiserikali iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa ya Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje ya
Uturuki. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa
Uturuki, Ahmet Dovutoglu, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es Salaam, leo Mei 30, 2014. Picha na OMR
0 comments:
Post a Comment