FUNIKA
 mbaya! maelfu ya mashabiki wa Atletico Madrid wameshangilia usiku kucha
 baada ya timu yao kubeba ubingwa wa La Liga kwa mara ya kwanza ndani ya
 miaka 18
 
Mashabiki hao walifunga mitaa ya mji mkuu wa Hispania, Madrid ambapo 
ndio makao makuu ya Atletico Madrid huku wakimshangilia kocha mkuu, 
Diego Simeone.
 






 
 
 
 






0 comments:
Post a Comment