Mkenya,
Tom Alex Olaba anaendelea na mkakati wake wa kusuka kikosi chake
kuelekea msimu mpya wa ligi kuu soka Tanzania bara unaotarajia kuanza
kushika kasi mwezi agosti mwaka huu.
Afisa habari kwa klabu hiyo,
mwenye maneno mengi, Masau Bwire ameuambia mtandao huu kuwa klabu hiyo
imefanikiwa kuwanasa wanandinga watano wenye uzoefu wa hali ya juu
katika michuano ya ligi kuu soka Tanzania bara kwa lengo la kumaliza
katika nafasi nzuri msimu ujao.
Masau alisema klabu hiyo inafuata
taratibu zote za uongozi na haifanyi mambo kiholelaholela kama
zinavyofanya klabu zingine zinazoshiriki ligi kuu hususani Simba na
Yanga.
Na Frank Momanyi, Dar es salaam
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment