Katibu
Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (ORTM), Dkt. Philip I. Mpango,
(wa tano kutoka kushoto) akikagua Mradi wa Makaa ya Mawe Ngaka. Wengine
ni viongozi na maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na Shirika
la Maendeleo la Taifa – NDC pamoja na wataalam wa kampuni ya TANCOAL
inayojishughulisha na uchimbaji wa makaa ya mawe.
Viongozi
na Maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango na NDC wakiwa katika
picha ya pamoja na wataalam wa Kampuni ya TANCOAL ndani ya mgodi wa
makaa ya mawe. Kampuni ya TANCOAL ndiyo inayohusika nauchimbaji wa makaa
ya mawe katika Mradi wa Mkaa ya Mawe Ngaka.
Mtaalam wa Kudhibiti Ubora, Bw. Boscow R. Mabena akitoa maelezo namna ambavyo Coal Briquett Machine(Pichani)
hutumika kubadili makaa ya mawe kutoka hali yake ya mwanzo baada ya
kuchimbwa na kutengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani.
Picha na: Thomas Nyindo, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango.
0 comments:
Post a Comment