-Mke
wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa Matsebula akivishwa
shada la maua baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku
mbili,ambapo atatembelea sehemu mbalimbali ikiwa pamoja na
Kizimbani,Shangani na Mji mkongwe wa Zanzibar.
Mke
wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa Matsebula katikati
akifuatana na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na
Watoto Zainabu Omar wakwanza kushoto baada ya kuteremka Uwanja wa Ndege
wa Zanzibar.
Mke
wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa Matsebula kushoto
akibadilishana mawazo na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana
Wanawake na Watoto Zainabu Omar katika Ukumbi wa Uwanja wa ndege mara
baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
0 comments:
Post a Comment