Monday, 7 July 2014

LIVERPOOL NAO WATAMBULISHA UZI MPYA WA MSIMU UJAO,


WASHINDI wa pili wa Ligi Kuu ya England, Liverpool nap wametambulisha jezi zao za msimu ujao, muda mfupi baada ya wapinzani wao wakubwa, Manchester United kutambulisha pia.
Liverpool imetambulisha jezi hizo leo na katika tangazo la awali lilitoka picha ya mshambuliaji nyota Luis Suarez aliyibuka mfungaj bora wa Ligi Kuu haijatumika, hali inayoongeza uwezekano wa kuhamia Barelona. Liverpool ipo kwenye mazungumzo ya biashara na Barcelona juu ya Suarez.
Steven Gerrard, Raheem Sterling na Daniel Sturridge ndio ambao wamepamba tangazo la jezi za msimu mpya za Liverpool.
Picha hii hapa: Raheem Sterling, Steven Gerrard na Daniel Sturridge wamepamba bang la jezi mpya za  Liverpool

Related Posts:

0 comments: