Vijana
na watoto wakioga kandokando ya ziwa Tanganyika eneo la Kijiji cha
Karema Wilayani Mpanda Mkoani Katavi hali hiyo ni hatari kwa afya ya
watoto na akina mama hao ambao ndio wathirika zaidi na hali hii juhudi
zaidi zinahitajika kuwaokoa na hali hiyo kuhakikisha jamii hii ya mambao
na wao wanapata maji safi ya bomba kwa matumizi ya kunywa kuoga na
kupikia.
Na Kibada Kibada Katavi
Maisha ya wakazi wa mwambao wa ziwa
Tanganyika yanaendelea kama wanavyoonekana wakazi hao wakijishughulisha
na shughuliza za kutafuata maisha ya yao ya kila siku bila kujali
athari wanayoweza kuipata hasa kupata mlipuko wa magonjwa yanayoweza
kusababishwa na matumizi ya maji machafu kama maji ya ziwani kwa kutumia
maji hayo kwa kunywa kuoga na shughuli nyingine za kimaisha.
0 comments:
Post a Comment