Saturday, 12 July 2014

HATIMAYE UHOLANZI YASHIKA NAFASI YA TATU KOMBE LA DUNIA YAITWANGA BRAZIL 3-0

UHOLANZI IMEIBUKA NA NAFASI YA TATU YA KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUICHAPA BRAZIL KWA MABAO 3-0 KATIKA MECHI YA KUSAKA MSHINDI WA TATU.
UHOLANZI WALIKWENDA MAPUMZIKO WAKIWA MBELE KWA MABAO MAWILI YALIYOFUNGWA NA ROBIN VAN PERSIE NA BLIND. HALAFU WIJNALDUM AKAMALIZA KAZIKATIKA DAKIKA YA 90.






Related Posts:

0 comments: