Tuesday, 17 June 2014

KOMBE LA DUNIA: GHANA WALA KICHAPO CHA 2-1 KWA USA!! NA ANGALIA LATIBA YA MECHI KALI ZINAZO ENDELEA!

John Brooks alifunga Bao la Kichwa Dakika 4 kabla Mpira kumalizika na kuipa USA ushindi wa Bao 2-1 kwenye Mechi ya Kundi G iliyochezwa huko Estadio das Dunas Jijini Natal Nchini Brazil.GHANA_v_USA
USA walitangulia kupata Bao Sekunde ya 29 tu, hili likiwa ni Goli la 5 la mapema kwenye Historia ya Kombe la Dunia, alilofunga Clint Demsey, Mchezaji wa zamani wa Fulham.
Andre Ayew aliisawazishia Ghana Dakika ya 82 baada kupokea Pasi ya Kisigino ya Asamoah Gyan.
 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
MAGOLI:
Ghana 1
-A.Ayew Dakika ya 82
USA 2
-Dempsey Dakika ya 1
-Brooks 86 
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Mapema Jana, kwenye Mechi nyingine ya Kundi G, Germany iliifumua Portugal Bao 4-0.
Mechi zinazofuata kwa Kundi G ni Jumamosi Juni 21 Germany na Ghana na Portugal kucheza na USA Jumapili Juni 22.
VIKOSI:
Ghana:
12 Larsen Kwarasey
04 Opare
20 Asamoah
11 Muntari
21 Boye
19 Mensah
07 Atsu (Adomah - 78')
17 Rabiu (Essien - 71')
03 Gyan
13 J. Ayew (Boateng - 59')
10 Andrew Ayew
USA:
01 Howard
23 Johnson
07 Beasley
15 Beckerman
20 Cameron
05 Besler (Brooks - 45')
11 Bedoya (Zusi - 77')
04 Bradley
08 Dempsey
17 Altidore (Jóhannsson - 23')
13 Jones
Refa: Jonas Eriksson (Sweden)
KOMBE LA DUNIA
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo
JUMATATU, JUNI 16, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Germany 4 Portugal 0
G
Arena Fonte Nova
2200
Iran 0 Nigeria 0
F
Arena da Baixada
0100
Ghana 1 United States 2
G
Estadio das Dunas
JUMANNE, JUNI 17, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Algeria
H
Estadio Mineirão
2200
Brazil v Mexico
A
Estadio Castelão
0100
Russia v South Korea
H
Arena Pantanal
 

Related Posts:

0 comments: