Saturday, 14 June 2014

KOMBE LA DUNIA: COLOMBIA YAINYUKA UGRIKI BAO 3-- 0

 
BRAZIL_2014_ORIJINO11Bao za Dakika ya 5 la Pablo Armero, Dakika ya 58 Teofilo Gutierrez na Dakika ya 91 la James Rodriguez Leo zimewapa ushindi wa Bao 3-0 Colombia walipocheza na Greece kwenye Mechi yao ya kwanza ya Kundi C la Fainali za Kombe la Dunia huko Estadio Mineirão Jijini Belo Horizonte Nchini Brazil.
Mechi nyingine ya Kundi C itachezwa baadae Usiku huu kati ya Ivory Coast na Japan huko Arena Pernambuco Jijini Recife.
Mechi zinazofuata kwa Colombia na Greece ni hapo Alhamisi Juni 19 wakati Colombia itakapokutana na Ivory Coast na Japan kucheza na Greece.
VIKOSI:
COLOMBIA: Ospina; Zuniga, Zapata, Yepes, Armero; Sanchez, Aguilar; Rodriguez, Cuadrado, Ibarbo; Gutierrez
Akiba: Arias, Carbonero, Vargas, Guarin, Mejia, Balanta, Bacca, Ramos, Quintero, Martinez, Mondragon, Valdes.
GREECE: Kamezis; Manolas, Torosidis, Papastathopolous, Holebas; Maniatis, Kone, Katsouranis; Salpingidis, Gekas, Samaras
Akiba: Tzavellas, Moras, Tziolis, Mitroglou, Karagounis, Vyntra, Glykos, Kapino, Christodoulopoulos, Fetfatzidis, Samaris, Tachtsidis.
Refa: Mark Geiger (USA)
KOMBE LA DUNIA
Ratiba/Matokeo:
**Saa za Bongo

JUMAMOSI, JUNI 14, 2014


SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
REFA


1900
Colombia 3 Greece 0
C
Estadio Mineirão
Mark Geiger [USA]


2200
Uruguay v Costa Rica
D
Estadio Castelão
Felix Brych [Germany]


0100
England v Italy
D
Arena Amazonia
Bjorn Kuipers [Holland]


0400
Ivory Coast v Japan
C
Arena Pernambuco
Enrique Osses [Chile]

JUMAPILI, JUNI 15, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Switzerland v Ecuador
E
Nacional
2200
France v Honduras
E
Estadio Beira-Rio
0100
Argentina v Bosnia
F
Estadio do Maracanã
JUMATATU, JUNI 16, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Germany v Portugal
G
Arena Fonte Nova
2200
Iran v Nigeria
F
Arena da Baixada
0100
Ghana v United States
G
Estadio das Dunas
 

Related Posts:

0 comments: