Kutoka kushoto ni Afisa Mawasiliano wa TASAF Bw. Zablon Bugingo, , Afisa Mifumo, Bi. Desderia Bomba –Misa, Mtaalam wa Mawasiliano, Bibi. Zuhura Mdungi, Afisa Mapokezi Bi. Jenny Solomon na Mtaalam Msaidizi wa Uchapishaji Bw. Victor Manyai wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya banda lao wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Baadhi
ya wananchi wakifuatilia maelezo kutoka kwa Wafanyakazi wa TASAF wakati
wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja
vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mifumo wa TASAF Bi. Desderia Bomba –Misaakitoa maelezo kuhusu Miradi
inayotekelezwa na TASAF Awamu ya Tatu kwa mwananchi aliyetembelea
banda lao wakati wa Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea
katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam,mwenye fulana
nyeupe kushoto ni Mfanyakazi wa Mapokezi wa TASAF Bi. Jenny Solomon.
Picha na Frank Shija, WHVUM
0 comments:
Post a Comment