Diego Costa akiwa mjini Belgrade kwa lengo la kuonana na mganga wa kienyeji.
MSHAMBULIAJI wa Atletico
Madrid, Diego Costa amesafiri kwenda Belgrade nchini Serbia kumuona
`Mganga wa miujiza`, Marijana Kovacevic ili amtibu na kurejea uwanjani
haraka kwa ajili mchezo mkubwa zaidi katika maisha yake ya soka.
Mganga huyo wa Serbia anawatibu wachezaji wenye matatizo ya
misuli kwa kuwawekea placenta na Costa anataka kuichezea Atletico Madrid
kwenye mechi ya fainali ya UEFA dhidi ya Real Madrid jumamosi ya wiki
hii.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment