MATUKIO KATIKA PICHA YALIYO WEZA KUVUTIA DUNIANI KOTE

Asante kwa kututembelea mbeyagreennews kwa taarifa zaidi endelelea kututembela kila siku ,saa,dakika usipitwe na matukio kem kemu

Wednesday, 30 April 2014

KOCHA WA SIMBA LOGARUSIC ATAKA WACHEZAJI 25 TU SIMBA

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ambapo amependekeza kuwa na makipa watatu. Loga amekabidhi ripoti yake hivi karibuni kabla ya kwenda nchini kwao Croatia kwenye...

PAUL NONGA ASEMA YANGA SIMBA, NO! ATAKA KUBAKI MBEYA CITY

NONGA (WA KWANZA KULIA)AKIWA NA KIKOSI CHA MBEYA CITY. Mshabuliaji wa Mbeya City, Paul Nonga, amezikataa timu za Simba na Yanga kwa kusema kuwa hafikirii kuondoka katika timu hiyo. Nonga ameonyesha kiwango cha hali ya juu akiwa na timu hiyo ya mkoani Mbeya...

AL AHLY YAPANGWA KUNDI LA ‘KIFO’ KOMBE LA SHRIKISHOB

VIGOGO wa Misri, Al Ahly wamepangwa katika Kundi B la Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2014 pamoja na Sewe Sport ya Ivory Coast, Etoile du Sahel ya Tunisia na Nkana FC ya Zambia. Katika droo iliyopangwa leo makao makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), wababe wa...

MAYWEATHER AONYESHA JEURI YA FEDHA, ATAKA KUNUNUA TIMU MAREKANI

  KAMA anavyotamba katika ngumi za kulipwa hadi sasa akiwa hajapoteza pambano licha ya kupigana na mabondia wakali duniani, Floyd Mayweather anataka kununua klabu ya mpira wa kikapu Marekani, inayomilikiwa na milionea anayekabiliwa na kashfa ya ubaguzi. Hakuna ...

UPITIAJI WA RASMU YA KATBA YA CLUB YA SIMBA WAMALIZIKA

  Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw. Leornad Thadeo akitoa ufafanuzi kwa Wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Rasimu ya Katiba ya Timu ya Mpira wa Miguu ya Simba baada ya wanahabari kutaka kupata ufafanuzi juu ya hatma ya Katiba na uchaguzi wa Klabu hiyo. Serikali ...

WAFANYAKAZI 'KATIBA NA SHERIA ' WAASWA KUCHPA KAZI

 ts   Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) Mkoa wa Dar-es-salaam Bw. Hassan Kaumo akiongea na wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo jijini...

HATARI:TANESCO YAFUNGA NYAYA JUU YA MTI BAADA YA NGUZO KUVUNJIKA

  Nguzo hii ina zaidi ya Mwezi mmoja ikiwa ndani ya nyumba ya mtu na hatari zaidi kwa sababu imelalia katika miti mibichi. Hivi ndivyo nguzo hiyo inavyo onekana kwa Jirani ikiwa imelalia miti. Hizi  ni waya zilizopita chini kabisa katika Geti la mtu na...

HALMASHAURI KUU YA CCM LUDEWA YAMPONGEZA MBUNGE FILIKUNJOMBE

 Mwenyekiti  wa CCM wilaya ya Ludewa Stanley Kolimba akifungua kikao cha Halmashauri kuu ya CCM wilaya  leo kutoka kulia ni mbunge wa jimbo la Ludewa  Deo Filikunjombe na mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa (MNEC) kutoka Ludewa Elizabeth Haule  ........................................................................................................................................ CHAMA  ...

AJALI YAUA MMOJA YAJERUHI 40 WILAYANI SUMBAWANGA

MTU mmoja amefariki dunia na wengine 40 kujeruhiwa baada ya ajali ya gari lililokuwa likitokea  katika kijiji cha Mkima Wilayani Sumbawanga kuacha njia na kupinduka na kutumbukia mtaroni. Gari hilo aina ya Fuso lililokuwa limebeba  wachezaji wa mpira ambao walikuwa wakielekea  kijiji cha Mkima wakitokea Ilembo kwa ajili ya...

JOSE CHAMELEONE KESHO KUSHEREHEKEA MEI MOSI VILLA PARK MWANZA.

SIKILIZA MPANGO MZIMA. MSANII Maarufu kutoka nchini Uganda Dr. Jose Chameleone, anaye Sherehekea siku yake ya kuzaliwa leo tarehe APRIL 30, anatarajia kushuka Mikoa ya Kanda ya Ziwa kutoa burudani ya mtikisiko kwa mikoa ya Mwanza na Geita wakati wa kusherehekea Sikukuu...

LISHE ASILI NI DAWA YA WAGONJWA WAMOYO

  Wanasayansi nchini Marekani wanasema watu waliowahi kupata maradhi ya moyo wanaweza kuishi maisha marefu iwapo watakula zaidi vyakula ambavyo havijapitia viwandani. Watafiti walichunguza zaidi ya watu elfu nne waliowahi kupata mshituko wa moyo na kubaini kuwa...

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA RAIS WA BURUNDI IKULU DAR

  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Sheikh Mohamed Rukara, Mjumbe maalum wa Rais wa Burundi Mhe Pierre Nkurunzinza, alipofika na ujumbe wake kuwasilisha ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam April 29, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea...

SHILINGI 2,000 ZILINIPONZA NIKAIBIWA MTOTO

  Aprili 6, mwaka huu ni siku ambayo mkazi wa Kijiji cha Kibanda wilayani Kyela, Mboka Mwakikagile (20) haitaisahau. Ni siku ambayo aliibiwa mtoto mchanga wa kiume aliyekuwa na umri wa siku saba tu. Akisimulia tukio hilo, Mboka anasema alijifungua...

HIVI NDIVYO RONALDO ALIVYO AVUNJA REKODI YA MESSI

  Nyota wa Real Madrid ya Uhispania Cristiano Ronaldo amevunja rekodi ya Lionel Messi ya ufungaji mabao mengi zaidi katika ligi ya mabingwa barani Uropa alipoifungia timu yake mabao mawili na kuisaidia kuichapa Bayern Munich mabao 4-0 katika...

SEMINA YA WAANDISHI KUHUSU UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU YAFANYIKA ZANZIBAR

  Na Miza Kona Maelezo Zanzibar TATIZO la Wananchi  kujichukulia hatua mikononi mwao na matumizi ya nguvu zisizo za lazima kwa baadhi ya vyombo vya dola ni changamoto kubwa inayodhoofisha...

KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AMKARIBISHA RAIS KWETE ARUSHA

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt.Richard Sezibera akimkaribisha Rais  Dkt Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya hiyo unaofanyika...

HIVI NDIVYO BFT WALIVYO MPONGEZA MH BERNAD MEMBE

    Shirikisho la ngimi Tanzania (BFT) linatoa pongezi za dhati kwa Waziri  wa Mambo ya Nchi za Nje Mh. Bernard Membe kwa hatua na jitihada alizozifanya  za kutafua na kufanikisha  kambi ya mazoezi kwa Timu ya Taifa...