Saturday, 25 May 2013

JAMBAZI LAZANIWA KUMILIKI SMG MBILI, LAKIMBIA TUNDUMA KUJA MBEYA

NEWS.....HATARI MBEYA.....JAMBAZI LAZANIWA KUMILIKI SMG MBILI, LAKIMBIA TUNDUMA LATUA MJINI MBEYA

HOFU imetanda kwa baadhi ya wananchi wa Jiji la Mbeya wanaohofu usalama wao baada ya kuwepo taarifa za Jambazi kutoka Tunduma na kuweka maskani Jijini Mbeya .

Taarifa za awali zilisema( juzi,janana leo,) jambazi huyo alikuwa eneo la mlima nyoka ambapo inasadikika kuwa ni mmoja wa waliosadikika kuwa ni majambazi ambao waliuawa na polisi hivi karibuni wakiwa kwenye gari aina ya Spacio.

Habari zaidi tutazidi kuwaletea kadri wananchi watakavyotoa taarifa zaidi ambapo licha ya hofu hiyo, inadaiwa kuwa baadhi ya wahalifu wa namna hiyo wanaotumia silaha wapo wilayani Rungwe mkoani Mbeya.
 

0 comments: