Sunday 28 September 2014

HOT NEWS :MAJAMBAZI YAVAMIA MADUKA BAADA UMEME UMEKATIKA ,RISASI ZA MIMINIKA

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka mjini Maswa mkoani Simiyu ni kwamba watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia Maduka ya wafanyabiashara  mabalimbali  n duka moja wapo lilijulikana ni mali  lJimilage katika mtaa wa Msikitini na kupora pesa kiasi ambacho hakijajulikana usiku huu.

Tukio hilo limetokea hivi punde ambapo majambazi wamevamia na kuanza kurusha risasi hewani .


Mwandishi wa 
mbeyagreennews blog kutoka Simiyu  anasema tukio hilo limetokea wakati umeme ukiwa umekatika na mpaka sasa hakuna umeme mjini Maswa.

Taarifa kamili 
tutakuletea hivi punde....

0 comments: