Saturday 27 September 2014

ANGALIA BAO LA DIEGO COSTA JANA DHIDI YA ASTON VILLA

 


Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa akishangilia jana baada ya kufunga katika ushindi wa 3-0 wa timu yake dhidi ya Aston Villa Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine yalifungwa na Oscar na Willian na sasa The Blues wapo kileleni mwa Ligi Kuu England. Chelsea ina pointi 16, ikifuatiwa na Southampton pointi 13, Manchester City pointi 11, Arsenal pointi 10 sawa na Swansea City na Aston Vila baada ya kila timu kucheza mechi sita. 

0 comments: