Sunday 21 September 2014

KAMPUNI YA SAMSUNG TANZANIA YAZINDUA RASMI DUKA JIPYA

NA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI ARUSHA

Meneja Mkuu wa kampuni ya kielektroniki ya Samsung Tanzania na Mr Nawaz Ladha Mkurugenzi wa Kampuni ya Freedom Elektronics moja ya kati ya wasmbazaji wa Samsung Tanzania akikata utepe kuzindua rasmi duka jipya na kituo cha huduma kwa wateja jijini Arusha
Meneja Mkuu wa Samsung Mr Mike Seo akiwahutubia wanahabari(hawapo kwenye poicha) katika uzinduzi rasmi wa duka la kielektroniki la Samsung na kituo cha huduma kwa wateja mjini Arusha.
Meneja Mkuu wa Samsung Mr Mike Seo akiwahutubia wateja wa Samsung katika uzinduzi rasmi wa duka la kielektroniki la Samsung na kituo cha huduma kwa wateja mjini Arusha.
Meneja wa Usambazaji wa Samsung Sylvester Manyara akitoa maelezo kwa wateja na waandishi wa habari. 
Meneja wa huduma Samsung Mr Mubarak Mikidad akiwahutubia wanahabari katika uzinduzi rasmi wa duka la kielektroniki la Samsung na kituo cha huduma kwa wateja mjini Arusha.

(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)

0 comments: