UEFA CHAMPIONZ LIGI:
MAKUNDI
RATIBA
Jumanne Septemba 16
Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa
KUNDI A
Juvsentus VS Malmö FF
Olympiakos VS Atlético Madrid
KUNDI B
Liverpool VS Ludogorets Razgrad
Real Madrid VS FC Basel
KUNDI C
Benfica VS Zenit St Petersburg
Monaco VS Bayer 04 Levserkusen
KUNDI D
Borussia Dortmund VS Arsenal
Galatasaray VS RSC Anderlecht
Liverpool, ambao wamewahi kutwaa Ubingwa wa Ulaya mara 5, wanarejea Ulaya kucheza Mechi yao ya kwanza ya Kundi B la UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL Jumanne Usiku baada ya kupotea kwa Miaka Mitano na Wapinzani wao ni Ludogorets Razgrad ya Bulgaria.
Liverpool walitwaa Ubingwa wa Ulaya kwa mara ya mwisho Mwaka 2005 baada ya kuibwaga AC Milan lakini Mwaka 2006/07 AC Milan ikawabwaga wao.
Mwaka 2009/10, ambayo ndio mara ya mwisho kucheza Makundi UCL, Liverpool walishindwa kuvuka hatua hiyo walipomaliza Nafasi ya 3 na kutupwa UEFA EUROPA LIGI ambako walifika Nusu Fainali.
Liverpool wameshawahi kufungwa na Klabu ya Bulgaria Uwanjani kwao Anfield Mwaka 2005 walipotunguliwa 1-0 na CSKA Sofia lakini pia safari hii wanacheza Mechi hii na Ludogorets Razgrad wakitoka kwenye kichapo cha 1-0 kutoka kwa Aston Villa Juzi kwenye Mechi ya Ligi Kuu England.
Nao Ludogorets Razgrad wanacheza hatua ya Makundi ya UCL kwa mara ya kwanza lakini Msimu uliopita walicheza UEFA EUROPA LIGI na kufika Raundi ya Mtoano ya Timu 16 na kwenye Ligi yao wapo Nafasi ya 3 hivi sasa.
Kwenye Mechi hii Liverpool itawakosa Wachezaji wao wapya Emre Can na Lazar Markovic ambao wana Vifungo vya UEFA kwa Mechi hii na pia Majeruhi Daniel Sturridge.
Klabu hiyo ya Bulgaria itatinga Uwanjani bila ya Kipa wao Nambari Wani, Vladislav Stoyanov, ambae nae yupo Kifungoni.
VIKOSI VINATARAJIWA:
Liverpool: Mignolet; Manquillo, Lovren, Sakho, Moreno; Henderson, Gerrard, Coutinho; Lallana, Sterling; Balotelli.
Ludogorets: Argilashki, Minev, Moti, Caicara, Aleksandrov, Abalo, Marcelinho, Dyakov, Espinho, Misidjan, Bezjak.
REFA: Matej Jug (Slovenia)
UEFA CHAMPIONZ LIGI
MAKUNDI
RATIBA
Jumatano Septemba 17
**Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa
KUNDI E
Bayern Munich VS Man City
AS Roma VS CSKA Moscow
KUNDI F
Ajax VS Paris St-Germain
Barcelona VS APOEL Nicosia
KUNDI G
Chelsea VS FC Schalke 04
NK Maribor VS Sporting Lisbon
KUNDI H
Athletic Bilbao VS Shakhtar Donetsk
FC Porto VS BATE Borisovs

UEFA CHAMPIONZ LIGI: BORUSSIA DORTMUND v ARSENAL, PATA TATHMINI/RIPOTI/VIKOSI!!
MECHI za Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, zinaanza Jumanne Usiku na zipo Mechi 8 lakini ile ya mvuto mkubwa ni kati ya Borussia Dortmund na Arsenal ambayo ni ya Kundi D itakayochezwa huko Signal Iduna Park Jijini Dortmund.
Msimu uliopita, kwenye Mashindano haya, zote zilikuwa kwenye Kundi moja pia lakini Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesisitiza hilo halina uhusiano wowote na Mechi ya Jumanne.
Msimu uliopita, Dortmund iliifunga Arsenal 2-1 Uwanjani Emirates na Arsenal kushinda huko Signal Iduna Park kwa Bao moja lililofungwa na Aaron Ramsey.
Zote zilifuzu kutinga Raundi ya Pili ya Mtoano na Arsenal kutolewa na Bayern Munich wakati Dortmund ikifungwa Robo Fainali na waliotwaa Ubingwa Real Madrid.
Akiongelea Mechi hii, Wenger amesema: “Haisaidii lolote, kila wakati ni mapigano mapya. Hii Leo wao ni Timu tofauti na Siku zote Mechi za England v Germany ni vita halisi!”
Kwenye Ligi za kwao, Arsenal walianza kwa ushindi dhidi ya Crystal Palace lakini Mechi 3 zilizofuata walitoka Sare na Everton, Leicester City na Mabingwa Manchester City wakati Dortmund walianza kwa kuchapwa 2-0 na Bayer Leverkusen na kushinda Mechi mbili zilizofuata.
Huenda Shinji Kagawa, alierudi Dortmund kutoka Man United ambae Juzi katika Mechi yake ya kwanza alipiga Bao wakati Dortmund inaifunga Freiburg Bao 3-1 akakutana uso kwa uso na Mchezaji mpya wa Arsenal, Danny Welbeck, ambae nae ametokea Man United.
Kwenye Mechi hii kila Klabu itawakosa Wachezaji kadhaa Majeruhi na Arsenal itamkosa Fulbeki Mathieu Debuchy baada ya kuumia na kutolewa kwa Machela kwenye Mechi na Manchester City Jumamosi iliyopita, lakini, hata hivyo, alikuwa aikose Mechi hii kwa vile yupo Kifungoni Mechi za Ulaya.
Nafasi ya Debuchy huenda ikajazwa na Chipukizi Calum Chambers ambae atakuwa akicheza Ulaya kwa mara ya kwanza baada ya kuhamia Arsenal kutoka Southampton lakini Staa huyo tayari ameichezea England Mechi moja mapema Mwezi huu alipotokea Benchi wakati England inaichapa Norway 1-0 kwenye Mechi ya Kirafiki.
Arsenal pia itamkosa Majeruhi wa muda mrefu Theo Walcott ingawa ameshapona na yupo Mazoezini.
Dortmund ndio wenye Listi ndefu ya Majeruhi na hao ni Ilkay Gundogan (Mgongo), Marco Reus (Enka), Jakub Blaszczykowski (Paja), Nuri Sahin (Goti) na Oliver Kirch (Paja).
VIKOSI VINATARAJIWA:
Borussia Dortmund: Weidenfeller, Piszczek, Subotic, Sokratis, Durm, Kehl, Jojic, Kagawa, Mkhitaryan, Immobile, Aubameyang.
Arsenal: Szczesny, Chambers, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Wilshere, Flamini, Ozil, Ramsey, Sanchez, Welbeck.
REFA: Olegário Benquerença (Portugal)

0 comments:
Post a Comment