Tuesday 16 September 2014

ADEBAYOR APEWA UNAHODHA SPURS

NYOTA wa Togo, Emmanuel Adebayor ameteuliwa kuwaNahodha Msaidizi wa Tottenham Hotspur, chini ya Mfaransa Younes Kaboul.

Mfaransa huyo ameiongoza Spurs mara kadhaa msimu huu kama nahodha wa mechi na sasa kocha Mauricio Pochettino amempa moja kwa moja beji hiyo akirithi mikoba ya beki Michael Dawson, aliyehamia Hull City mwezi uliopita.
Adebayor atakuwa Nahodha Msaidizi pamoja na kipa Hugo Lloris.
Saluti kwa Nahodha; Emmanuel Adebayor amereuliwa kuwa Nahodha Msaidizi Spurs chini ya  Younes Kaboul 

0 comments: