Thursday 18 September 2014

COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI

KOCHA Jose Mourinho amesema kwamba Diego Costa hawezi kucheza mechi tatu kwa wiki Chelsea kwa ababu ya maumivu ya nyama aliyoyapata akiitumikia timu yake ya taifa, Hispania.
Costa, ambaye amefunga mabao saba katika mechi zane nne za awali Chelsea, alilazimika kuanzia benchi katika mchezo wa sare ya 1-1 na Schalke Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana.
Pamoja na hayo, Mourinho hakuwa na malalamiko coyote kwa Hispania zaidi ya kusema na wao pia wanamhudumia vizuri mshambuliaji huyo juu matatizo yake ya misuli yanayomkabili. 
 

Wa akiba; Diego Costa alianzia benchi pamoja na Loic Remy, Chelsea ikilazimishwa sare ya 1-1 na SchalkeThe duo were introduced in the 74th minute in the Champions League game at Stamford Bridge
Wawili hao waliingia pamoja dakika ya 74 Uwanja wa Stamford Bridge

0 comments: