Friday, 4 July 2014

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA SRI LANKA, POLAND NA ROMANIA LEO

e1 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya,  Dkt Velupilai Kananathan kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 e2Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt Velupilai Kananathan  baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 e3 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 e4 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 e5 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 e6 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi wa Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe Julia Pataki kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 e7 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa  Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Julia Pataki baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo July 3, 2014 
PICHA NA IKULU

Related Posts:

0 comments: