Saturday, 12 July 2014

MESSI AJIFUA KABLA YA ARGENTINA KUIVAA UJERUMANI JUMAPILI

 
Watanikoma: Mshambuliaji wa Argentina, Lionel Messi (katikati) akifanya mazoezi ya kupiga tik tai wakati wa maandalizi ya timu yake kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia Jumapili dhidi ya Ujerumani nchini Brazil.

Related Posts:

0 comments: