KOMBE LA DUNIA: DI MARIA AFUNGA BAO DAKIKA 118, ARGENTINA IPO ROBO FAINALI!
BAO
la Dakika ya 118 la Angel Di Maria limewapa Argentina ushindi wa Bao
1-0 walipocheza na Switzerland kwenye Mechi ya Raundi ya Pili ya Kombe
la Dunia huko Brazil na kuwaingiza Robo Fainali.
Licha ya kutawala, Argentina walishindwa
kuipenya Switzerland na Gemu kumalizika 0-0 baada Dakika 90 na
kuongezwa Dakika za Nyongeza 30.
Ndipo kwenye Dakika ya 118 Lionel Messi
alikokota Mpira vizuri na kumpasia Angel Di Maria, Fowadi wa Real Madrd,
ambae alifunga Bao safi la ushindi.
Mara baada ya Bao hilo, Uswisi mara
mbili walipata nafasi kupitia Beki wao Blerim Dzemali aliepiga Kichwa na
Mpira kupiga Posti na nafasi nyingine kupiga nje.
Kwenye Robo Fainali hapo Jumamosi,
Argentina watacheza na Belgium au USA ambazo zinakutana kwenye Mechi ya
Raundi ya Pili baadae Usiku huu.
VIKOSI:
ARGENTINA: Romero, Federico Fernandez, Zabaleta, Garay, Rojo, Gago, Mascherano, Di Maria, Higuain, Messi, Lavezzi.
Akiba: Orion, Campagnaro, Biglia,
Perez, Maxi Rodriguez, Augusto Fernandez, Demichelis, Palacio, Alvarez,
Aguero, Andujar, Basanta.
SWITZERLAND: Benaglio, Lichtsteiner, Schar, Djourou, Rodriguez, Inler, Behrami, Xhaka, Shaqiri, Mehmedi, Drmic.
Akiba: Sommer, Ziegler, Senderos, von Bergen, Lang, Barnetta, Seferovic, Stocker, Dzemaili, Fernandes, Gavranovic, Burki.
Refa: Jonas Eriksson (Sweden)
KOMBE LA DUNIA
RAUNDI YA PILI YA MTOANO
**Saa za Bongo
JUMAMOSI, JUNI 28, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
49 |
Brazil 1 Chile 1, Penati 3-2 |
Mineirão |
Belo Horizonte |
|||||
2300 |
50 |
Colombia 2 Uruguay 0 |
Maracanã |
Rio de Janeiro |
|||||
JUMAPILI, JUNI 29, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
51 |
Netherlands 2 Mexico 1 |
Castelao |
Fortaleza |
|||||
2300 |
52 |
Costa Rica 1 Greece 1, Penati 5-3 |
Pernambuco |
Recife |
|||||
JUMATATU, JUNI 30, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
53 |
France 2 Nigeria 0 |
Nacional |
Brasilia |
|||||
2300 |
54 |
Germany 2 Algeria 1 |
Beira-Rio |
Porto Alegre |
|||||
JUMANNE, JULAI 1, 2014 |
|||||||||
SAA |
MECHI NA |
MECHI |
UWANJA |
MJI |
|||||
1900 |
55 |
Argentina 0 Switzerland 0 [Dak 120, 1-0] |
Corinthians |
Sao Paulo |
|||||
2300 |
56 |
Belgium v USA |
Fonte Nova |
Salvador |
|||||
ROBO FAINALI IJUMAA, JULAI 4, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
1900 |
France v Germany [57] |
ROBO FAINALI |
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro |
|
|||||
2300 |
Brazil v Colombia [58] |
ROBO FAINALI |
Estadio Castelão, Fortaleza |
|
|||||
JUMAMOSI, JULAI 5, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
1900 |
Argentina v Mshindi 56 [59] |
ROBO FAINALI |
Nacional, Brasilia |
|
|||||
2300 |
Netherlands v Costa Rica [60] |
ROBO FAINALI |
Arena Fonte Nova, Savador |
|
|||||
NUSU FAINALI JUMANNE, JULAI 8, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2300 |
Mshindi 57 v Mshindi 58 [61] |
NUSU FAINALI |
Estadio Mineirão, Belo Horizonte |
|
|||||
JUMATANO, JULAI 9, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2300 |
Mshindi 59 Mshindi 60 [62] |
NUSU FAINALI |
Arena Corinthians, Sao Paulo |
|
|||||
MSHINDI WA TATU JUMAMOSI, JULAI 12, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2300 |
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62 |
MSHINDI WA 3 |
Nacional, Brasilia |
|
|||||
FAINALI JUMAPILI, JULAI 13, 2014 |
|
||||||||
SAA |
MECHI |
KUNDI |
UWANJA |
|
|||||
2200 |
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62 |
FAINALI |
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro |
|
|||||
0 comments:
Post a Comment