Thursday, 3 July 2014

ATHUMANI IDDI 'CHUJI' ATUA AZAM FC RASMI KUPIGA KAZI

Aliyekuwa kiungo wa Yanga SC, Athumani Iddi 'Chuji' akiwa mzoezini na klabu bingwa ya Tanzania Bara, Azam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Chuji alimvutia kocha Joseph Marius Omog, ambaye amesema sasa anataka wachezaji wazoefu 

0 comments: