HOME »
» TANZANIA YAWASILI KOMBE LA DUNIA NCHINI BRAZIL
 |
Tunawakilisha;
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi wa pili
kushoto akiwa na rais wa zamani wa shirikisho hilo, Leodegar Tenga mjini
Sao Paulo, Brazil kushiriki Mkutano Mkuu wa 64 wa Shirikisho la Soka la
Kimataifa (FIFA) jana. Brazil pia ni wenyeji wa Kombe la Dunia mwaka
huu. Wengine kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ahmed Mgoyi
na kushoto ni katibu wa shirikisho hilo, Celestine Mwesigwa |
 |
Kutoka kulia Mwesigwa, Malinzi na Mgoyi |
0 comments:
Post a Comment