Mkurugenzi
wa Masoko na Utafiti,Raphael Mwamoto(kushoto), akimtambulisha
Mkurugenzi wa huduma za utabibu na ufundi Dr. Frank Lekey ambaye
waliambatana katika ziara hiyo wilayani mlandizi.y
Mwenyekiti
wa kamati ya kituo cha afya Mlandizi, bw Makamba Mwaluka (watatu
kushoto), akiwakaribisha wageni kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
baada ya kufanya ziara katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha
Afya Wilayani Mlandizi. Juni 12,2014 na kukabidhi mashuka kwenye kituo
hicho (kulia kwake), Muendeshaji
shughuli mama Gaudensia Ndegea (katikati kulia), Kaimu Mkurugenzi wa
Halmashauri ya wilaya ya Kibaha, Michael John, na Mjumbe wa bodi NHIF,
bwana Charlse Kajege.
Mjumbe
wa bodi wa NHIF Dr. Hashim Mohamed(kushoto), akikabidhi mashuka kwa
mgeni rasmi, diwani wa Mlandizi mama Ndessi baada ya kufanya ziara
katika katika wodi ya akina mama na watoto Kituo cha Afya Wilayani
Mlandizi na kukabidhi mashuka kwenye kituo hicho.
0 comments:
Post a Comment