Tangazo
lililotolewa jana Agosti 29, 2012 na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili, limeorodhesha majina ya walioomba nafasi mbalimbali
za kazi katika kada na madaraja mbalimbali.
Majina hayo na maelezo muhimu kwa watahiniwa yanapatikana mtandaoni, (bofya hapa).
Majina hayo na maelezo muhimu kwa watahiniwa yanapatikana mtandaoni, (bofya hapa).
0 comments:
Post a Comment