AKIMKABIDHI GARI AINA YA TOYOTA FUNGARCO |
MZEE GURUMO NDANI YA MKOKO WAKE |
AKIZUNGUMZA KABLA YA KUMKABIDHI GARI MZEE GURUMO |
GARI AINA YA FUNCARCO AMBAYO DIAMOND AMEMKABIDHI MZEE GURUMO |

Diamond alimkabidhi mzee Gurumo gari hilo katika uzinduzi wa video ya wimbo wake mpya number 1 katika ukumbi wa hoteli ya kimataifa Serena jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kumkabidhi gari hilo Diamond alisema alijiskia vibaya pale alipomsikia mzee Gurumo wakati akihojiwa redioni kuwa katika maisha yake ya muziki kwa miaka 53 hadi anastaafu,hajawahi kununua hata baiskeli
0 comments:
Post a Comment