SAA
kadhaa kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil, Jiji la
Sao Paulo kwa mara nyingine zimeibuka vurugu zilizosababisha waru
kujeruhiwa.
Polisi walilipua mabomu ya machozi na kupambana vikali na mashabiki maeneo ya kituo cha Caaro.
Helikopta za jeshi zililizunguka Jiji hilo huku polisi wakipambana na raia .
Majeruhi: Mtayarishaji wa CNN, Barbara Arvanitidis akikimbizwa na machela baada ya kuvunjika mguu kwenye vurugu hizo
Msaada: Barbara Arvanitidis akipatiwa huduma ya kwanza
Polisi kazini]
Shabiki akidhibitiwa na polisi
Moto: raia wakipambana na polisi Sao Paulo
0 comments:
Post a Comment